Kundi
la P-Unit toka Kenya walitarajiwa kupata shavu la kutangaza laptop
za HP kwenye kampeni iliyobatizwa jina la 'Get your beat
On' ambazo mteja akinunua anapata na headphones kali
za Beats by Dre
P-Unit
wameungana na international artistes ambao walipata shavu
kama hilo kama David Guetta,Alicia Keys,Justin Bieber,Sean
‘Diddy’ Combs,Lebron James na Lady Gaga
No comments:
Post a Comment