Mkongwe
wa Muziki toka Uingereza,Sir Elton John amefunguka kuwa
ana mpango wa kumshirikisha Artist Justin Timberlake kwenye
'Biopic' yake aka movie inayohusu life story yake
JUSTIN RANDALL TIMBERLAKE
Kwa
sasa kila kitu kiko kwenye mstari,na Director na crew nzima iko
tayari wanasubiri script tu waanzae mambo na movie hiyo
itakua na track zake mpya na Justin
Timberlake,amekua chaguo lake la kwanza coz alisha act
kwenye video ya Elton John ya David LaChapelle ‘Rocket Man’
na Elton john amechaguliwa kuwania tuzo kwenye Golden Globe
zitakazofanyika January 15,2012 kupitia track yake ya Hello,
Hello na ana mtoto wa kuasili yeye na
'husband wake' David Furnish aitwaye
Zachary,aliyezaliwa December 25,2010
No comments:
Post a Comment