Imefunguliwa kuwa Baba Ivy Blue Carter aka Jay-Z
wako kwenye ka-beef cha kiaina na Hip Hopper,
Ludacris kuhusiana na kugombea eneo la
biashara pande za Atlanta

SHAWN COREY CARTER - JAY Z
Jay-Z
na Ludacris walikua wanawania sehemu pande Hartsfield-Jackson
Airport-Atlanta,lakini airport hiyo ilikua na uwezo wa kumpangisha
mtu mmoja na hatimaye Ludacris akalamba deal hiyo na
kuamua kufungua Restaurant iitwayo Chicken N Beer
No comments:
Post a Comment