Artist
Beyonce Jigga Knowles na Rapper Jay Z,baada ya kuwa na uhusiano kwa
miaka 6 na kufunga ndoa rasmi April 2008,wamepata motto wa kike
waliyembatiza jina la Ivy Blue Carter jijini New York
Imefunguliwa
kuwa Beyonce alijifungua pande za Lenox Hill Hospital,Ijumaa usiku
baada ya kukodi ghorofa ya 4 sehemu ya hospitali hiyo kwa dola milioni
1.3 za kimarekani
Kabla
ya kujifungua ma-doctor na ma-nurse wa hospitali hiyo walikatazwa
kufika ghorofa ya 4 na wale waliokua pande hizo walinyanganywa simu zao
ili wasiweze kupiga picha wakati Beyonce akijifungua
No comments:
Post a Comment