R
& B Star,Robyn Rihanna Fenty aka Rihanna amevalishwa taji la Queen
wa kuuza mziki kwenye mtandao aka Best selling artist
online
Ofisa
toka kampuni ya Nielsen SoundScan amefunguka kuwa fans wali-
download track za Rihanna mara milioni 47.5 kufikia mwisho wa mwaka
2012
Kundi
la Black Eyed Peas limepata downloads milioni 42.4 kupitia track
yao ya I Got Feeling huku Eminem wa 3 kwa kupata
downloads milioni 42.2 na Lady Gaga ni wa 4 kwa
kupata downloads milioni 42 na Taylor Swift downloads
milioni 41.8
Pia artist Katy Perry,Lil Wayne,Beyonce,Kanye West na Britney Spears wamo kwenye Top 10
No comments:
Post a Comment