Celebz,Jay
Z na Beyonce bila kujijua walisababisha shabiki wao mmoja
kuchomwa kisu pande Ohio – Marekani baada ya kutokea mabishano juu yao

RONALD DEAVER
Issue
ilianza baada ya jamaa mwenye miaka 48 kubishana na jamaa anayekwenda
kwa jina la Ronald Deaver mwenye miaka 31,kwa kua
alikua hana habari kama Beyonce ameolewa na Jay Z na mpaka kuwa na
'kitumbo' ndipo kulisababisha Ronald kumchoma kisu na kupelekea
kukamatwa na maafisa polisi wa Ohio nchini Marekani
No comments:
Post a Comment