Rais
wa Marekani,Barack Obama amebambwa na mtandao wa kimbea zaidi duniani
akicheza american football,akiwa ametupia kapelo,pensi na akiwa tumbo
wazi pande za Visiwa vya Hawaii


Rais
Obama alikua kwenye mapumziko ya siku 10 ya mwisho wa mwaka yeye na
familia yake kwenye kambi ya Kaneohe Marine Corps Base na alionekana
akidaka mpira na kujiachia kwenye michanga kama kawa na alirejea hivi
karibuni nchini Marekani baada ya holiday na kuanza mishe mishe za
kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika November 6,2012

No comments:
Post a Comment