JAY - Z....ATOA NGOMA KWA MTOTO WAKE...IVY!
Baada
ya kupata mtoto Ivy Blue Carter over the weekend yeye na
wife wake Beyonce,Papa Hov ameachia ngoma kwa ajili ya mtoto
wake huyo iitwayo Glory ft B.I.C kupitia website yake
ya Life + Times

Kwenye
ngoma ya Glory,Jigga ameonesha hisia zake juu ya mtoto wake huku mwisho
ameweka sauti ya mtoto wake Ivy Blue Carter na pia
amefafanua kwa nini wamemuita mtoto wao blue coz blue ni rangi
anayoipenda zaidi pia kwa kutoa alnum ya The Blueprint 2 mwaka 2002 na The Blueprint 3 mwaka 2009 kuonesha kuizimia zaidi rangi ya blue
No comments:
Post a Comment