ASTOR AFUNGUA SEHEMU YA TATOO...KANISANI..!
Katika
kubuni njia ya kuwavutia waumini waje kwa wingi kanisani
kwake,Pastor mmoja ameamua kufungua sehemu ya kuchora
tatoo na kufundisha kupigana kanisani

....KITU CHA TATOO CHA PASTOR....
Pastor
Steve Bentley wa kanisa la The Bridge Misteries toka Michigan-
Marekani maeamua kufungua tatoo parlour kama sehemu ya
kuhamasisha waumini wake waje kanisani kwa wingi na kwa sasa
amewaajiri wafanyakazi wawili,Ryan Brown na Drew Blaisdell
ambao wanafanya kazi kwa appointment maalum kuanzia mchana
mpaka saa 2 usiku,Jumatatu mpaka Jumamosi na katika kuonesha msisitizo
yeye mwenyewe pastor ameshatupia tatoo 2 za nguvu
No comments:
Post a Comment