ARTIST REDSAN.....KUPIGA REMIX YA MALAIKA...!
Baada
ya Artist kibao duniani kama Brothers Four,Helmut Lotti,Miriam
Makeba,Harry Belafonte,Boney M,Usha Uthup,Angélique Kidjo
kutengeneza version zao za wimbo maarufu toka Kenya,Msanii Redsan
kwa sasa ameungana nao kiaina coz inafunguliwa kuwa
naye yuko kwenye mishe za kugonga remix ya Malaika
aka famous African ballad

FADHILI WILLIAM MDAWIDA
Redsan
kwa sasa yuko studio akigonga remix ambayo wadau wanafunguka
kuwa itamrudisha kwa kishindo kwenye tasnia ya muziki Afrika
Mashariki na ngoma hiyo ya Malaika
ilifanywa na Msanii Fadhili William toka Kenya akiwa na
Bendi yake iliyoitwa Jambo Boys kwenye miaka ya 60
No comments:
Post a Comment