RAPPER DMX....AVAMIWA KWENYE STAGE...!
Rapper DMX,amepata msala alipokua anapiga show pande za Cafe
Sevilla,Long Beach-California baada ya fan wake mmoja
kuruka kwenye stage na kumvaa
Wakati DMX anaanza kuimba track yake ya One More Road to Cross
iliyokua kwenye album yake ya 3 aliwauliza fans wake "Are you
ready to get this shi* started for
real?....ndipo jamaa alivamia stage na na kumkaba shingoni
kabla ya security kumuokoa DMX na mumtoa kwenye stage
No comments:
Post a Comment