Baada
ya kulazwa ghafla hospitali kwa matatizo ya figo,Nick Cannon
amefunguka kupitia mtandao wa twitter
kuwa ameshafanyiwa upasuaji

Kwa
sasa Singer,actor na TV star,Nick Cannon anaendelea poa na
amewashukuru fans wake kwa kumuombea
No comments:
Post a Comment