Serikali
ya Nigeria ina mpango wa kumshitaki Rapper toka Marekani,William
Leonard Roberts II aka Rick Ross baada ya kushindwa kutia maguu
na kupiga show kwenyetamasha maarufu la The Calabar Christmas
Festival pande za Cross River State
Imefunguliwa
kuwa Rick Ross alishakula mkwanja wake na haijajulikana sababu ya
kutokwenda kupiga show serikali ya Cross River State kwa sasa imekodi
mwanasheria toka Marekani kwa ajili ya kumfungulia mashitaka Rick Ross
No comments:
Post a Comment