Mkali
wa muziki wa Soul toka Marekani,Aretha Loiuse Franklin mwenye umri wa
maiak 69 amechumbiwa na long time friend wake William 'Willie' Wilkerson
Aretha
Franklin ambaye ni mshindi wa tuzo za Grammy alivalishwa pete
na Wilkerson wakati wa mapumziko ya mwisho wa mwaka na kwa
sasa mipango ya harusi inafanyika pande za Miami
Beach,Florida na Bibi Aretha Franklin ana mpango wa
kufanya sherehe ya watu wake wa karibu tu kwenye
boti na anafikiria ma-designer kama Vera Wang,Valentino na Donna Karan
wamtengenezee gauni lake la harusi na hii itakua ni
ndoa yake ya 3 baada ya kuolewa mara 2 kabla
No comments:
Post a Comment